Askari wanawake barani Afrika wameanza mafunzo ya wiki moja nchini Tanzania, wakijikita katika kujiimarisha namna ya kukabiliana na vitendo vya kihalifu, ikiwamo uhalifu unaovuka mipaka na udukuzi ...
Rais wa Rwanda Paul Kagame ametangaza kwamba nchi yake iliamua kutuma askari katika Jamuhuri ya Afrika ya kati ili kulinda askari wa nchi hiyo waliomo katika kikosi cha umoja wa mataifa ambao wamekuwa ...
Sherehe ya kuadhimisha miaka 80 tangu kutua kwa Provence imefanyika siku ya Alhamisi, Agosti 15 katika ukumbi wa Boulouris mbele ya Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, pamoja na viongozi kadhaa wa ...
Wizara ya Ulinzi nchini Afrika Kusini imetangaza kifo cha mwanajeshi wake aliyejeruhiwa katika mapigano kule nchini jamuhuri ya Afrika ya kati machi 23, wakati waasi wa kundi la Seleka walipoiteka ...
Ufaransa inahitaji kuungwa mkono kijeshi pia na Ujerumani katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.Mauaji yanayotokana na sababu za udini pamoja na vurumai ni tishio kwa eneo lote la Afrika ya Kati anasema ...
Walimda amani watatu wa Umoja wa Mataifa wameuawa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) baada ya makabiliano kuzuka kati ya vikosi vya serikali na waasi. UN imesema wapiganaji ambao hawakutambuliwa ...