MSANII wa R&B na Bongo Flava, Khery Sameer Rajab 'Mr Blue' ameelezea namna anavyofanya kazi zake kwa umakini, kuhakikisha ...
KWA wakati fulani, Watayarishaji wa Muziki (Producers) hutia vionjo vya sauti zao kwenye baadhi ya nyimbo ili kuleta ladha itakayotoa burudani ya uhakika kwa wapenzi wa muziki. Hata ...
Nimewasikia watu wengi wakisema kuwa “ hakuna kazi rahisi duniani”. Huenda kauli hii ina ukweli kwa kiasi kikubwa. Nimeamua kutanguliza usemi huu ili pengine uelewe kwa nini mwanamuziki mkongwe katika ...
Iwapo unazungumzia kuhusu fedha, kuhusu muziki bora, tuzo na ushawishi basi Diamond ndio mwanamuziki mwenye ufanisi Afrika mashariki. Kifedha msanii huyo wa muziki wa bongo anamiliki mali Tanzania ...
Mwanamuziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki, alimaarufu kama Ney wa Mitego amesema yeye ndio chanzo cha maamuzi ya nyimbo kufungiwa Tanzania. Nyimbo zaidi ya kumi zilitangazwa na Mamlaka ya ...