KIBONGO Bongo ukiacha viongozi wa serikali na sekta binafsi, wasanii wanaongoza kwa kuwa na walinzi 'bodyguard' wanapokwenda ...
MSANII wa Bongo Movies, Shamsa Ford amesema kitu kikubwa kilichopitwa na wakati kwa mastaa ni kuigiza maisha kwa sababu hata ...
Wasanii nchini Tanzania hivi karibuni waliandamana kupinga uuzwaji wa filamu kutoka nje, wakidai zinaharibu soko la ndani. Wakati huo huo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiahidi kushughulikia suala ...
Matumizi ya Lugha ya Kiswahili kwa asilimia Mia moja si jambo linalotiliwa mkazo na baadhi ya wasaniii na waandaaji wa filamu nchini Tanzania jambo linalopoteza maana ya halisi ya Filamu nchini humu ...
Watoto wang'ara katika tuzo za filamu za Sinema Zetu International (SZIFF 2019). Kwa picha hivi ndivyo mambo yalivyokua. Maelezo ya picha, Tuzo za mwaka huu zimezua gumzo katika mitandao ya kijamii ...
Makala ya 70 ya tamasha la kila mwaka la Filamu maarufu kama Cannes Film Festival, linamalizika siku ya Jumapili mjini Cannes nchini Ufaransa. Tangu kuzinduliwa kwa tamasha hili mwaka 1946, kila mwaka ...
Polisi nchini humo inasema kuwa miongoni mwa waliokamtwa kwenye operesheni hiyo, wamo pia askari polisi, madaktari, manesi, waalimu na hata wachungaji wa makanisa mbalimbali ambao wamekuwa wakishiriki ...
Filamu iliotengenezwa upya ya cowboy miaka ya sitini kuhusu msichana alieazimia kulipiza kisasi cha baba yake inafunguwa Tamasha la Filamu la Berlin (Berlinale) leo hii. Filamu ya True Grit ...