Bi harusi mmoja kaskazini mwa nchi ya India alifanya maamuzi ya papo kwa hapo kuolewa na mmoja wa wageni waliofika kushereheka naye katika harusi yake baada ya mumewe kuugua ghafla. Mwanamke huyo ...
Kulingana na ripoti za walioshuhudia kihoja hicho cha aibu bi harusi anasemekana alimuuliza bwana harusi ''15 ukiongeza 6 utapata nini ''? Polisi katika jimbo la Uttar Pradesh nchini India wanasema ...
Kombe ni aina ya chakula maalum kinacholiwa na Bwanaharusi baada ya kufunga ndoa katika jamii ya wadigo nchini Kenya. Makala ya Tamaduni na Sanaa Faiz Mussa anaangazia utamaduni huo na kukualika japo ...