Unaambiwa raha ya kuianza asubuhi angavu ni pale unapopata kifungua kinywa na kilicho bora na pendwa kwa wengi, hiki hakichagui kaya wala tabaka wengi huvutiwa nacho ambacho ni kitumbua…. ndio ...