LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa michezo minne kupigwa, huku vita ya pointi tatu ikitarajiwa kusakwa kibabe kuanzia ...
NI wikiendi spesho katika ulimwengu wa soka kuanzia ndani ya Tanzania, nje ya mipaka ya nchi hii lakini hapahapa Afrika, pia kule Ulaya napo hapatoshi. Siku hizi mbili kwa maana ya Jumamosi ...
Dabi ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga nchini Tanzania imeendelea kuthibitisha ukubwa wake, safari hii ikichezwa katika mazingira ya kipekee, kwenye uwanja wa kambini ama jeshini, Meja Jenerali ...
Mashabiki wa Simba wameanza kujinasibu kuwa safari hii ni ya kufuta uteja, wakikumbushia maumivu ya kupoteza michezo sita mfululizo dhidi ya watani wao wa jadi na mashabiki wa Yanga nao wanaonekana ...