Kiasi gani ni kupita kiasi? Hilo ndilo swali ambalo wengi nchini India wanauliza huku sherehe za harusi ya mtoto wa kiume wa tajiri mkubwa zaidi barani Asia, ikiingia awamu ya mwisho. Sherehe hizo ...
Mripuko wa shambulio la bomu la kujitoa muhanga ulitokea katika sherehe ya harusi usiku wa Jumamosi katika mji mkuu Afghanistan na watu kadhaa waliuwawa ama kujeruhiwa, amesema afisa wa serikali.
Naibu Gavana wa mkoa huo Hassan al-Allaq, amethibitisha kuuawa kwa watu, na kueleza kuwa moto huo ulianza saa nne usiku siku ya Jumannne wakati wakiwa kwenye sherehe ya harusi. Kutokana na majeraha ...
Harusi ni mojawapo ya matukio muhimu katika jamii, ni siku ambayo wanandoa wanapenda ibaki katika kumbukumbu. Na kadri miaka inavyosonga, ndivyo sherehe za harusi zinavyozidi kuimarika na kukua.
Kwa mujibu wa mashahidi shambulizi hilo, ambalo limelenga nyumba ambamo kulikua kukifanyika sherehe ya harusi, limeendeshwa na ndege za muungano wa kiarabu unaosaidia serikali ya Yemen unaoongozwa na ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results