Katika makala ya Nyumba ya Sanaa juma hili tumezungumza na Msanii wa vichekesho Cleopas Awinja JTP wa Kenya kubaini mafanikio na changamoto za uchekeshaji wa jukwaani nchini Kenya. Soma zaidi mada ...
Msanii maarufu wa Uganda Anne kansiime amesema mchumba wake alimuomba awe mke wake baadaya ''kumuudhi''. Hata hivyo Bi Kansiime anasema aliamua kukubali ombi la uchumba kutoka kwa mpenzi wake Abraham ...
Eriko Kobayashi alisimulia mkasa wake ,"Alilazwa hospitalini kwa kujaribu kujiua,," Kobayashi ameiambia BBC. "Alinipa pete kama zawadi ili kunihamasisha kutoa ujumbe wangu, na tukakumbatiana." ...