'Napenda kuigiza uhusika wa kike ingali mimi ni wa kiume' anasema Abdallah Sultan maarufu kama Dullvani ambaye ni muigizaji wa vichekesho vya runinga nchini Tanzania. Dullvani anatumia mtindo wa ...