Takriban wafanyakazi 10,000 kutoka viwanda vya kuzalisha nguo wamejaribu kuwazuia wenzao kurejea kazini katika mji wa viwanda wa Ashulia, katika vitongoji vikubwa vya magharibi mwa mji mkuu Dhaka.
Madai: Kutoa msaada wa nguo za mitumba imekuwa na athari hasi kwa sekta ya viwanda vya nguo katika nchi za Afrika. Rais wa Rwanda , Paul Kagame, amesema : "Tumewekwa ...
Ajali ya kuporomoka kwa jengo mjini Dhaka limezua shutma kuwa makampuni ya nguo ya nchi za magharibi yaliyo nchini Bangladeshi yanaweka mbele maslahi yao kuliko usalama wa mahali pa kazi na ...