Kumezuka moto mwingine katika barabara ya chini ya ardhi katika milima ya Alps barani Ulaya , miaka sita baada ya maafa yaliyotokea huko Mont Blanc. Usiku wa jana , lori lililokuwa limebeba matairi ...
Raia wawili wa Mali wako katika hali mbaya baada ya kupigwa risasi mjini Kidal, wakati huu ambapo kuekuwepo na mgogoro kwa kipindi cha siku tano baada ya Vikosi vya Kijeshi kuingia mjini Kidal kwa ...
Jeshi la Israel limetangaza siku ya Jumanne kuwa wanajeshi wake wawili wameuawa katika mapigano kaskazini mwa Ukanda wa Gaza, katika siku ya 25 ya vita dhidi ya kundi la Hamas. Wanajeshi hao wawili ...