Israel inasema kuwa inafanya mashambulizi kote Iran na Lebanon huku mawaziri wa fedha wa G7 wakitarajiwa kufanya mkutano wa dharura kuhusu bei ya mafuta.