CHAMA cha Baiskeli Tanzania (CHABATA), kimeandaa mashindano ya mchezo huo yatafayofanyika kuanzia Oktoba 10 hadi 14, mwaka huu mkoani Tabora. Akizungumza na gazeti hili jana, Rais wa CHABATA, Godfrey ...
Ofisa Habari wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Charles Maguzu akiikabidhi bendera timu ya Taifa ya kuogelea inayoenda nchini Singapore leo kushiriki mashindano ya Dunia. TIMU ya Taifa ya mchezo wa ...