Mkataba wa kibiashara kati ya Marekani na nchi za Afrika unafikia ukingoni. Kuna tishio la kupotea kwa ajira, lakini pia kuna fursa kwa bara hili kuimarisha ...
Katika historia ndefu ya siasa za Zanzibar, jina la Laila Rajab Khamis sasa limeandikwa kwa herufi kubwa si kwa sababu ya nafasi aliyopewa, bali kwa nafasi aliyoamua kuichukua mwenyewe. Mwaka 2025, ...
Kuna tofauti nyingi kati ya nchi zilizoendelea na nchi masikini, lakini moja ya tofauti hizo ni ile inayohusu ajira au kazi. Kwenye nchi za dunia ya kwanza, kuna wingi wa ajira na uhaba wa watu. Na ...
CHAMA cha Baiskeli Tanzania (CHABATA), kimeandaa mashindano ya mchezo huo yatafayofanyika kuanzia Oktoba 10 hadi 14, mwaka huu mkoani Tabora. Akizungumza na gazeti hili jana, Rais wa CHABATA, Godfrey ...
Ofisa Habari wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Charles Maguzu akiikabidhi bendera timu ya Taifa ya kuogelea inayoenda nchini Singapore leo kushiriki mashindano ya Dunia. TIMU ya Taifa ya mchezo wa ...
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT–Wazalendo, Othman Masoud Othman, amesema serikali atakayoiongoza itaweka mkazo katika kuzipa thamani bidhaa zinazozalishwa visiwani humo ili ziweze ...
“Kimsingi tunaenda kwenye kutekeleza matakwa ya awali ambayo lengo namba 4 la Malengo ya Maendeleo Endelevu, SDGs linalotaka tutoe elimu bora,” ni kauli ya Profesa William Mwegoha, Makamu Mkuu wa Chuo ...
Residents of South Turkana have expressed outrage at what they say are the daylight killings of two of their own by Kenya Defence Forces officers. Three days after two Kenya Police Reservists from ...
TIMU ya soka ya Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC),imetwaa ubingwa wa Michezo ya 18 ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) “InterPort Games 2025” kwa mara ya kwanza kwa kuifunga Dar es ...
KATIBU Mtendaji Baraza la Taifa la Michezo Zanzibar, Said Kassim Marine, amesema milango ya mchezo wa masumbwi visiwani hapa imefunguka kimataifa, hivyo wanamichezo wanapaswa kuitumia fursa hiyo ...
Kwa mara ya kwanza katika historia ya soka la Tanzania Bara, timu zote nne zilizoiwakilisha nchi katika mashindano ya klabu ya Afrika zimefuzu hatua ya makundi. Simba SC na Yanga SC zimefuzu hatua ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results