Kwa mara ya kwanza, Tanzania inatarajia kuanzisha tuzo za kutambua na kuthamini mchango wa wasanii katika tasnia ya vichekesho (uchekeshaji) chini ya usimamizi wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na ...