TEC yabariki Uchaguzi Mkuu, yakemea vitendo vya utekaji,kupotea watu. Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limebariki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, likiwataka Watanzania kushiriki kwa amani, ...
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema siku ya Alhamisi, Oktoba 23, kwamba vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Urusi na Marekani ni "vikubwa" lakini havitakuwa na "athari kubwa" katika uchumi wa nchi. Pia ...
Kote Afrika Mashariki na Kusini, mamilioni ya wanawake huanza siku zao mapema sana kabla hata ya jua kuchomoza. Huteka maji, huandaa chakula, kuwalea watoto na wazee, kusaidia wanajamii wenye ulemavu ...
Shinikizo la kimataifa dhidi ya Israel inayoendesha vita vyake vinavyoelezwa na wataalamu wa Umoja wa Mataifa kuwa mauaji ya kimbari kwenye Ukanda wa Gaza, linazidi kuongezeka. Kwa mujibu wa taarifa ...
Magari ya kijeshi ya Israel yameendelea kuingia ndani ya vitongoji vya Gaza City, yakilenga maeneo ya Sabra, Tel Al-Hawa, na Al-Naser. Mashahidi wanasema mamia ya maelfu ya raia bado wamekwama, huku ...
Mwanaume anapiga kura yake wakati wa uchaguzi wa mitaa Tanzania kwenye kituo cha kupigia kura Kigoma, tarehe 27 Novemba, 2024. Serikali ya Tanzania imezidisha ukandamizaji wa kisiasa, Kuibua hatari na ...
Israel inatarajia mateka kuachiliwa Jumatatu asubuhi;Trump akijiandaa kwa ziara ya Mashariki ya Kati
Msemaji wa serikali ya Israeli Shosh Bedrosian ameviambia vyombo vya habari kwamba tumebakisha saa kadhaa kabla ya kuachiliwa kwa "mateka wetu wote". Na Asha Juma Chanzo cha picha, AFP Mamlaka nchini ...
Zaidi ya watu bilioni 1 duniani wanaishi na hali ya afya ya akili. Kuna mikakati ya gharama nafuu, madhubuti na inayowezekana ya kuimarisha, kulinda na kurejesha afya ya akili. Uhitaji wa kuchukua ...
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekabidhi vyuo vinne vya Ufundi Stadi na Huduma kwa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), vilivyopo Njombe, Simiyu, Rukwa na ...
Nchini Mali, maafisa kumi na mmoja wa vyeo vya juu, wakiwemo majenerali wawili, wamefutwa kazi jeshini. Uamuzi huo ulitolewa kwa agizo mnamo Oktoba 8, 2025, na rais wa mpito, Jenerali Assimi Goïta.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results